African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 916
- 1,561
Haiwezekani kupata picha yake kwa sasa mana nishaulaPicha ya huo upepo unaokulaππ
Nothing phone 1Picha kali sana hiyo mkuu, iPhone ngapi hiyo mkuuπππ.
Hapana wanaotumia html ndio ITWanaotumia Dart na flutter siku hizi nao ni IT?
Hyper Text Markup LanguageHapana wanaotumia html ndio IT
nikisoma jina hili huwa nacheka tu ati Uboboh
Bantu Lady ni expert kabisaMbantu anajua haya mambo duuh.
Makubwa au mi sijaelewa. π
Bantu Lady ya kweli haya?Bantu Lady ni expert kabisa
Ohooo ... niamini mie sasa... mwisho wa matatizo ya ku develop hapo...Bantu Lady ya kweli haya?
Mi nilidhani umeajiriwa kitengo kingine, πππ.
Kumbe unapigaga. Ma code eeeh wonders shall never end. βΊοΈπ€π€.
Unajua siamini kama auntiee yangu anajua haya mambo.
Bro National Anthem kuwa serious mkuu π€£π€£π€£
Bantu Lady kwenye Low level programming ni hatari na nusu πAhahah
high level programming
Sijui chochote mdogo wangu. Wee unamsikiliza Ankol ananisingizia tu ππππππBantu Lady ya kweli haya?
Mi nilidhani umeajiriwa kitengo kingine, πππ.
Kumbe unapigaga. Ma code eeeh wonders shall never end. βΊοΈπ€π€.
Unajua siamini kama auntiee yangu anajua haya mambo.
Bro National Anthem kuwa serious mkuu π€£π€£π€£
chochote kinacho husiana na security nicheki tu mkuu anytimeDuuh sawasawa, kumbe tumo industry moja ππView attachment 2676697