unafahamu tabia ipi/zipi za wanyama au ndege

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
huwa nasikia njiwa huwa hachangii jike lake na njiwa mwenzie. na kama akinyang'anywa jike lake huzira kula mpaka afe? je ni kweli? hebu ongeza unazofahamu. . . .
 
Fisi maji,ye akipata mhemuko na jike halipo around basi niniliyu yake huitumbukiza popote na kumaliza haja yake,iwe katikati ya miamba miwili ye sawa tu.
 
kunguru bhana hasa hawa wa Pwani, wakitaka kunya lazima watafute mtu wamlenge, especially ukikatiza chini ya mti au nyaya za umeme
 
Fisi maji,ye akipata mhemuko na jike halipo around basi niniliyu yake huitumbukiza popote na kumaliza haja yake,iwe katikati ya miamba miwili ye sawa tu.

duh,hyo kali. mbna miamba ni migumu c hapo kuna hatari ya kujichubua. hebu fafanua kidogo!
 
Fisi maji,ye akipata mhemuko na jike halipo around basi niniliyu yake huitumbukiza popote na kumaliza haja yake,iwe katikati ya miamba miwili ye sawa tu.

We kiboko man! dah research yako nimekoma nayo, huyu mdudu hataki stress kabisa!
 
kunguru bhana hasa hawa wa Pwani, wakitaka kunya lazima watafute mtu wamlenge, especially ukikatiza chini ya mti au nyaya za umeme

kweli tena,umenikumbusha cku 1 napita pale akiba bas nlimwona mbaba m1 kanyewa na kunguru afu hakuwa aware, nikamuhurumia nkatoa handkachif yangu nikamwambia kanyewa. bas nikamfuta. . .
 
Kanga hatagi ndani
Jogoo anaweza na anatosha kuhudumia mitetea kumi na mbili bandani
 
kuna nyingne huwa nasikia ndege aina ya kware yeye huwa anakusanya watoto wote hata kama sio wa kwake ye anabeba tu! hii imenikumbusha mila ya kabila flan jina kapuni. huwa wanatabia ya kukusanya watoto wote wa mkewe hata kama hajazaa nae maadamu kazaa mkewe bas wote ni wa kwake!
 
Tembo huwa anakwenda haja kubwa yenye uzito wa kilo tano kila baada ya masaa mawili
 
duh, sasa mbona kinyes chake ni adimu? afu nasikia kuwa kinyes chake ni dawa ya pumu?
sio adimu bwana huko mbugani kipo bwerereeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. duh!!!!!!!!! halafu sikujua kama dawa ya pumu si ningechukua jaman coz nilipoenda Iringa nilifika hadi ruaha national park kwani mie nina pumu
 
Fisi hakuna dume wala jike atakayemuwahi mwenzake mzigo unaliwa
 
Kuku jike ametisha, anaweza kukurupushwa na jogoo kichakani kwenye utulivu na mazingira mazuri, akakimbia weeh, halafu akaja kubanduliwa njia panda kwenye raia kibao, afu mechi yao haifiki sekunde tano.
 
Do you know a miracles of Camel ?
Kama hujui tega sikio!
And this is true details si za kichitchat .
> Camel have a special body structure that makes it able to live in harsh climate , hot temperature.
> Camel anamudu 8 days bila chakula wala maji.
> Miguu yake are suitable for a variety of conditions includin' desert sand.
> Camels eyelashes that can be automatically closed diffend frm sand desert storms and dust.
> Camel ana'consume 30 liters of maji yakiwa ya akiba mwilini na 30 ltrs ikiwa ktk mzunguko.
> Camel (male) hampandi Mama yake mzazi au ndugu wa kuzaliwa nae kama wamezaliwa in difference gender.
> Camel inapofika time ya kumchinja hachinjiki by using force, kivyovyote vile akigoma kuchinjwa hachinjiki! . Owner hulazimika aachane na agenda hiyo na kuendelea na agenda nyingine.
> Ni vipi basi huchinjwa ?
Camel huimbiwa nyimbo maalumu za ubembelezo thn akiafiki hulala mwenyewe na owner ndiyo humfunga kamba za miguu, na kuchinjwa kwa ridhaa yake mwenyewe.
 
Do you know a miracles of Camel ?
Kama hujui tega sikio!
And this is true details si za kichitchat .
> Camel have a special body structure that makes it able to live in harsh climate , hot temperature.
> Camel anamudu 8 days bila chakula wala maji.
> Miguu yake are suitable for a variety of conditions includin' desert sand.
> Camels eyelashes that can be automatically closed diffend frm sand desert storms and dust.
> Camel ana'consume 30 liters of maji yakiwa ya akiba mwilini na 30 ltrs ikiwa ktk mzunguko.
> Camel (male) hampandi Mama yake mzazi au ndugu wa kuzaliwa nae kama wamezaliwa in difference gender.
> Camel inapofika time ya kumchinja hachinjiki by using force, kivyovyote vile akigoma kuchinjwa hachinjiki! . Owner hulazimika aachane na agenda hiyo na kuendelea na agenda nyingine.
> Ni vipi basi huchinjwa ?
Camel huimbiwa nyimbo maalumu za ubembelezo thn akiafiki hulala mwenyewe na owner ndiyo humfunga kamba za miguu, na kuchinjwa kwa ridhaa yake mwenyewe
.

kwenye red Judgement nilishawahi kusikia ila hizo tabia zingine aiisseee mbado! asante kwa kutufungua hiii ndo jf bana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom