Mkuu ulikumbuka kingaIlikua idd last yr...nikatoka na wanangu .hyo sehem sijawah kwennda...kulikua na mkutano Dom..so walipita pale kula...akawa anawaangalia wanangu wanavyoinjoy na jumping casstle...later akaja mwanangu akamsalimia kiinglish..ndo ikawa mwanzo wakutaka kumjua mama yao...lol..na alivyojua kabila 1 ..akanitandazia mapene...dadreeek
Mkuu ulikumbuka kinga
Utakuwa mbunge wa viti maalumu wewe
MhhEverybody says so..lol...sifai kule mm...!
Anaitwa Mtemi Nalimi Balimi KisanduMtemi chenge ukimuweka gerezani misingi inaachia.
Cc mtemi Kisandu.
Hatar zaidi ya sana aiseeJoka lenye makengeza
Ilikua idd last yr...nikatoka na wanangu .hyo sehem sijawah kwennda...kulikua na mkutano Dom..so walipita pale kula...akawa anawaangalia wanangu wanavyoinjoy na jumping casstle...later akaja mwanangu akamsalimia kiinglish..ndo ikawa mwanzo wakutaka kumjua mama yao...lol..na alivyojua kabila 1 ..akanitandazia mapene...dadreeek
Nimekupata yupo so humble
Mnoo yan..alipojua mm sukuma akakianzisha..haha...alinikatia mpunga wa maana...najuta y sikumchombeza masuala ya ajira...dah..
Nimecheka kidogo nipaliwe na bia,kwamba msingi wa gereza unaachiaMtemi chenge ukimuweka gerezani misingi inaachia.
Cc mtemi Kisandu.
Angekuwa wa Casicasini ungesema ana akili/mjanja sana. Lakini kwa kuwa ni kinyume chake imekuwa ni MCHAWI na sisi hawa hawa ndo wa kwanza kupinga sheria ya makosa ya mtandaoni Na. 12/2016 tukitaka "freedom of speech"
Naamini akiamua kuchukua mkondo wa sheria tajwa hapa, utakuja na povu kuwa Serikali ya awamu ya 5 ni "onevu"
Ni imani yangu hata ww mtaani kwako au group lako lolote la internet ukiitwa "MCHAWI" utaishia kufungua kesi ikiclaim "Damages".
Ungechukua mawasiliano yake! Huyo Mzee anasauti ya kisukuma ya pekee? Ila kazi si unafanya kwa sasa
Wanao sema chenge sio mzee wa ndumba wakajaribu kugombea ubunge jimbo lake waone
nilikua kazin..alinihoji pia...ila nw nimepiga chini...nipo poa
Ok kila la heri, si upo Dodoma bado