Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
😂😂😂😂Mzee nasikia ana uwezo wakujua umevaa nguo ya ndani ya rangi ipi hata ujavua nguo, yani siku ya vikao akikaa pale mbele waheshimiwa wote anawaona watupu.
Mzee noma sana yule.
DuYeye ndio aliyetunga sheria za nchi hii sasa utatungaje kitu kitakachokufunga yeye kaacha baadhi ya loopholes ndio huwa anachomokea humo refer ile kesi yake ya kuwagonga na gari wale wadada wa mwanza na kuwaua then akalipa laki saba kama faini na gari lake lilikutwa halina hata insuarance
Waulize waliokuwa wanamtaja unao huko.Habari zenu wakuu. Miongoni mwa watu ambao sielewi kabisa mambo yao ni mbunge wa Bariadi Mh Andrew Chenge, nasema hivyo kwasababu ni mtanzania pekee aliye tajwa sana kwenye kashfa nyingi (karibu zote zile kubwa kubwa).
Lakini pamoja na hayo huyu bwana tangu ni mfahamu amekuwa akihusishwa ktk kuongoza shughuli nyeti MF. Kwenye marekebisho ya katiba yaliyofanyika 2005 yeye ndo alikuwa mwenyekiti wa kamati hii nyeti.
Katika mchakato wa kuhitimisha katiba ya Warioba yeye alichaguliwa kwa mara nyingine kuongoza jopo la wataalamu ku finalize mambo kabla ya kumalizia hatua yamwisho.
Kwasasa huyu bwana ni Mwenyekiti wa Bunge.
Najiuliza hivi yale tuliyokuwa tukiyasikia alikuwa anasingiziwa?
Kama jibu ni hapana kwanini haungani na akina Rugemarila na Seth? Kama hahusiki ni kwanini walimsingizia yeye na si mtu mwingine?
Kwanini hata wasinge singizia mtu 1 kwa kila scandal?
Wewe unafahamu nini kuhusu Mtemi Chenge? aka Joka lenye makengeza.
kwangu mimi ninamwona kama ni mtu aliyetumia muda mwingi tunaomlipa katika to mislead OUR national;parliament and he violated our constitution and all the executive code of ethics,pia amejionyesha kuwa ni mtu mpenda madaraka by all cost,sio honest na ni mwongo mkubwa;ILA ninamwona kama atakuwa mmoja wa wakimbizi wa mwanzo kabisa kuikimbia nchi once upepo utakapo badilika kuvuma,for now mwache a relax ila aelewe kuwa ipo siku nchi hii itapata ile freedom of expression,freedom of press,uchaguzi huru na haki;hata kama kutapita zaidi ya generations 3,aelewe kuwa generations zake atazipa wakati mgumu wa kujibia haya anayoyafanya;