Unafahamu bia inaitwa pombe?

Unafahamu bia inaitwa pombe?

Du mchizi wewe ni kiboko
FB_IMG_1645649359338.jpg
 
Wengi walikuja kutazama
Ambapo wachache wangeweza kuona.
Wengine waliwaambia wengine,
Walipitisha hadithi.
Maana kama nyoka
Walipotea kwenye nyasi ndefu -
Maneno yalikuwa yamebadilishwa.
Walioelewa walikuwa wamekwenda.
Vipofu waliua ukweli.
Uelewa hautakuweka huru kamwe,
Kwa wale wanaokuzunguka haikuwa kweli.
Ubao wa kubadilisha maneno
Inapunguza maana ya ukweli
Katika ulimwengu uliopotea katika kujidanganya
Ambapo msikilizaji amekufa kwa muda mrefu.
Haijalishi hata
Kilichosemwa.
 
Mizimu mitupu kwenye huu uzi.. naona mtadata ngoja niende jukwaa lenye unafuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna maneno hayajatahiriwa.. Haya ndio halisi.. Mengi tunayoongeleshana tumeyatia tohara, tumeyahariri, tumeyaremba na kuyatia nakshi mbalimbali kuleta ladha ama mvuto tuutakao
kulingana na mazingira
Kulingana na nyakati
Kulingana na uhitaji

Jamaa aliwahi kuniuliza kama nimeshawahi kuonja utamu wa bia inayoitwa pombe.. Nikamwambia ndio ni kilevi chenye pombe ya shurubati

Imagine unaamka asubuhi kumbe kumeshakuchwa halafu kila mtu kabeba miguu kichwani anatembelea mikono.. Dunia imechoka sana hii..

Kama tangu kuzikwa kabla hatujazaliwa tungekuwa
Hatujaoga
Hatuja kata nywele zote
Hatujakufa
Hatujasoma..[emoji23] wala kuhomola

Kwamba sasa ndege zinaelea baharini
Mell zinapaa angani
Gari moshi hizoo barabarani
Magari hayoo kwenye reli[emoji1]
Halafu vichochoroni unakutana na wanaume wa kike[emoji31]

Wanyama wote mijini
Binadamu wote mwituni
Samaki angani
Ndege wote majini

Wachawi wote ibadani
Watumishi wote vilingeni[emoji23][emoji23][emoji23]
Mada isiyotiwa tohara hii.. TUSISAMEHEANE TUU
giphy.gif
giphy.gif
 
ndoto ya kuungua meli alafu maji ya bahari inazima uo moto nini maana yake nawatu waliyokuwa ndani ya meli hiyo wanatoka
 
ndoto ya kuungua meli alafu maji ya bahari inazima uo moto nini maana yake nawatu waliyokuwa ndani ya meli hiyo wanatoka
Ni vita ya kiroho hasa maroho ya majini yakitaka kuzidi nguvu roho za nchi kavu za kibinadamu
 
 
 
Back
Top Bottom