Unafahamu bia inaitwa pombe?

Unafahamu bia inaitwa pombe?

Nimeogopa nimejaribu Kudowload Imekataa!! Bro.Tuhurumie wenzio kwaresma yote hii na vitu vizito tena
giphy.gif
 
Kuna maneno hayajatahiriwa.. Haya ndio halisi.. Mengi tunayoongeleshana tumeyatia tohara, tumeyahariri, tumeyaremba na kuyatia nakshi mbalimbali kuleta ladha ama mvuto tuutakao
kulingana na mazingira
Kulingana na nyakati
Kulingana na uhitaji

Jamaa aliwahi kuniuliza kama nimeshawahi kuonja utamu wa bia inayoitwa pombe.. Nikamwambia ndio ni kilevi chenye pombe ya shurubati

Imagine unaamka asubuhi kumbe kumeshakuchwa halafu kila mtu kabeba miguu kichwani anatembelea mikono.. Dunia imechoka sana hii..

Kama tangu kuzikwa kabla hatujazaliwa tungekuwa
Hatujaoga
Hatuja kata nywele zote
Hatujakufa
Hatujasoma..[emoji23] wala kuhomola

Kwamba sasa ndege zinaelea baharini
Mell zinapaa angani
Gari moshi hizoo barabarani
Magari hayoo kwenye reli[emoji1]
Halafu vichochoroni unakutana na wanaume wa kike[emoji31]

Wanyama wote mijini
Binadamu wote mwituni
Samaki angani
Ndege wote majini

Wachawi wote ibadani
Watumishi wote vilingeni[emoji23][emoji23][emoji23]
Mada isiyotiwa tohara hii.. TUSISAMEHEANE TUU
giphy.gif
giphy.gif
Dr Mshana unaaza kututisha sasa
 
Changia hata 50 tu [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nambaa yakutuma hyo 50 n ipi mkuuuu,maaana mada zako muda mwinginee utafikiri unakulaa mjani ndio unaandikaa ,maana walaa mjani akili huwaa imetuliaaa sana(GANJA)
 
Inashangaza Sana mambo ya dunia ya Sasa yanatisha

PUNYETO
X
POMBE
BANGI
KUROMBANA
HELA
VITA
UTANDAWAZI
MABADILIKO YA TABIA YA NCHI
KULA KWA UREFU WA KAMBA YAKO
GMO MBEGU ZA MAABARA
[emoji849][emoji1786][emoji850][emoji26][emoji31][emoji19][emoji42][emoji848][emoji29][emoji17][emoji53][emoji3525][emoji24][emoji24][emoji22][emoji27][emoji46][emoji51][emoji47][emoji32][emoji2962][emoji853][emoji20][emoji45]





DHAMBI

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Inashangaza Sana mambo ya dunia ya Sasa yanatisha

PUNYETO
X
POMBE
BANGI
KUROMBANA
HELA
VITA
UTANDAWAZI
MABADILIKO YA TABIA YA NCHI
KULA KWA UREFU WA KAMBA YAKO
GMO MBEGU ZA MAABARA
[emoji849][emoji1786][emoji850][emoji26][emoji31][emoji19][emoji42][emoji848][emoji29][emoji17][emoji53][emoji3525][emoji24][emoji24][emoji22][emoji27][emoji46][emoji51][emoji47][emoji32][emoji2962][emoji853][emoji20][emoji45]





DHAMBI

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
SiSiEmu
 
Wakongoman husema "Mobuki lokuta ye na ndoki se moto moko"
BABA ASKOFU BENSON BAGONZA AMEANDIKA


INAHITAJIKA MIAFAKA siyo MUAFAKA.

Kuna harufu ya mparaganyiko kila mahali. Ni kama tuna nchi moja yenye mataifa mengi ndani yake. Badala ya muafaka wa kitaifa, inahitajika miafaka kadhaa ili kuunda muafaka mmoja.

1. CCM si moja. Kuna CCM-Mpina na CCM-January. Kuna CCM-Mwendazake na CCM-Samia. Kuna CCM-Asili na CCM-Yatima. Hizi CCM zote zinahitaji muafaka ili tupate CCM moja.

2. Wapinzani si wamoja. Kuna wapinzani-Katiba Mpya na Wapinzani-Nusu Katiba Mpya. Kuna wapinzani-Mtungi na Wapinzani-Mahela. Kuna Wapinzani-Zanzibar huru na Wapinzani-Zanzibar Mkoa. Unahitajika muafaka kati ya wapinzania kabla ya muafaka wa kitaifa.

3. Serikali si moja. Kuna serikali awamu ya 5 rais wa sita na Serikali awamu ya sita rais wa sita. Kuna serikali-2025 na Serikali-2030. Hizi serikali zinahitaji muafaka.

4. Kuna bunge-live na bunge-giza. Kuna bunge-haramu ndani jengo halali na bunge-halali nje ya jengo halali. Kuna sheria halali zilizotungwa na bunge haramu.

5. Kuna Polisi-Tii sheria bila shuruti na Polisi-Tii shuruti bila sheria. Kuna IGP bila Polisi na Polisi bila IGP.

Unashangaa? Tanzania ni eneo la utalii. Kila kitu ni kiburudisho. Hatuambukizani Corona, tunaambukizana tabia. Mwenyekiti wa msiba anamuiga Spika namna ya kuongoza kikao cha mazishi. Askofu anamuiga OCD ili kuongoza kanisa. Kocha wa Simba anamuiga kocha wa Yanga lakini anafungwa mengi kuliko Yanga.

Bei ya mafuta imepandisha hata rushwa ya barabarani.
 
Back
Top Bottom