Unafahamu bia inaitwa pombe?

Unafahamu bia inaitwa pombe?

Mmh! Kwenye hivi vitu vya spiritual nimetoka kitambo sitaki kurudi! Bora niendelee kuchakata mbususu for the peace of my mind, make sitaki elewa kila kitu! Tokea ile siku nimetest kutoka nje ya mwili na nikatoka kweli nikajiona nimetolewa photo copy sitamani tena hata kuyasikia!!

Mshana Jr naomba unisaidie jinsi ya kuzifutilia mbali lucid dreams, zinanitesa sana!!
 
Rudi kwenye tahajudi jadidi zitakata.. Lakini epuka third eye kama ilikutesa
 
mambo yake muachie mwenyewe... Inshort pombe siyo chai...
Screenshot_20220428-205915.jpg
 
“Nature loves courage. You make the commitment and nature will respond to that commitment by removing impossible obstacles. Dream the impossible dream and the world will not grind you under, it will lift you up. This is the trick. This is what all these teachers and philosophers who really counted, who really touched the alchemical gold, this is what they understood. This is the shamanic dance in the waterfall. This is how magic is done. By hurling yourself into the abyss and discovering it's a feather bed.”

― Terence McKenna

[ Art: “Unlikely Companions” by Shen Fang Teng ]
Screenshot_20220510-190514.jpg
 
Back
Top Bottom