Unaempenda Nae ana Mtu wake anae Mpenda

Unaempenda Nae ana Mtu wake anae Mpenda

true love from each other ni kitu muhimu sana... we tulia yupo mtakaependana mtaoana siyo akupende ndo umwoe
 
Hya mambo ukiyafikiria utapta shda mnoo haswa sisi ambao hta hela hatuna

Kma una hela unawaza nn? Utampta tu
 
Mapenzi ya pesa niyamuda mfupi tu zikiisha basi muachane ?
Kama akina dada hampendi mwanaume mwenye asie na hela basi inabidi azitafute tu. Kuisha ni majaaliwa ila angalau ukiwa nazo na wewe uishi kiroho safi
 
Anateswa mbaya kabisa, sema muda mwingi the ball is in his court! Akiamua kuacha ujinga hateseki
Sasa mkuu mi niko na pesa yangu natesekea nini...

Jaribu kutazama maisha ya Mondi na Mzee Mengi...

Fuba ipo ya kutosha, totoz moja ikizingua unavuta nyingine...mkwanja tu hapo unafanya kazi...

Sasa kina siye ukiwa na Fatuma akikuomba hela ya wigi unaona anakuchuna...
 
Mkuu Sdhani Kama kutakuwa na Amani yoyote ndani ya Nyumba ! Maumivu ya kuachana ni Makubwa sana !
Sasa mkuu mi niko na pesa yangu natesekea nini...

Jaribu kutazama maisha ya Mondi na Mzee Mengi...

Fuba ipo ya kutosha, totoz moja ikizingua unavuta nyingine...mkwanja tu hapo unafanya kazi...

Sasa kina siye ukiwa na Fatuma akikuomba hela ya wigi unaona anakuchuna...
 
Sasa mkuu mi niko na pesa yangu natesekea nini...

Jaribu kutazama maisha ya Mondi na Mzee Mengi...

Fuba ipo ya kutosha, totoz moja ikizingua unavuta nyingine...mkwanja tu hapo unafanya kazi...

Sasa kina siye ukiwa na Fatuma akikuomba hela ya wigi unaona anakuchuna...
Unaanzisha uzi tu wa kulia lia mizinga mingi!
 
Mkuu pambana, kati ya watu milioni 50+hujapata tu wakufanana naye?Nenda Lindi,Mtwara,Kigoma,Mwanza,Kilimanjaro n.k bado una nafasi kubwa ya kupata mtu sahihi.
 
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji39][emoji23]
 
Back
Top Bottom