Unaelewaje kwenye hii Picha???

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
[h=6] IMG00123-20111102-1407.jpg

Hebu angalia maandishi yaliyokutwa na mpiga picha wetu pembeni mwa barabara ya Bibi Titi baada ya Hotel ya Starlight yanaeleweka??
[/h]
 
Photocopy Spare parts copy sh 30/!!hapo ujaona tatizo bado??
@Preta mimi sijambo japo mwenzangu ulinitolea uvivu kwakuona mapenzi ya mda mrefu yanachelewesha maendeleo sawa ila mimi nipo!!
 
Tatizo ni Wabongo kuabudu Kiingereza bila kuwa na uwezo nacho. Kuna colummn katika magazeti ya The Citizen (Our Kind of English) na Sunday News (Mind Your Language) ambazo zinachambua makosa kama hayo kila mara. Ni ugonjwa wa Wabongo. Mtu ana biashara Manzese anatangaza kwa Kiingereza (tena kibovu)!!! Sijui kwa nini wanapoteza pesa zao maana walengwa wengi wa matangazo kama hayo hiyo lugha ni not reachable. Kwa hiyo na matangazo yenyewe siyo effective. Kungekuwa na taabu gani mtangazaji angeandika "Huduma ya Kurudufu - Shs.30/= kila nakala moja" na "Vipuri" (sijuii vya nini)? Inaeleweka kwa watu wengi.
 
Tunashindwa kujiamana na lugha yetu tunaangaika na za watu ndo tunaishia kama ivyo
 
Photocopy Spare parts copy sh 30/!!hapo ujaona tatizo bado??
@Preta mimi sijambo japo mwenzangu ulinitolea uvivu kwakuona mapenzi ya mda mrefu yanachelewesha maendeleo sawa ila mimi nipo!!

jamani....ndio unataka kunivutia brake au.......
 
jamani....ndio unataka kunivutia brake au.......
Gari ilibidi lisimame baada yakuona mafuta hayakanyagwi likafika kwenye kamwinuko kadogo likashindwa kupanda!!!Na AR nikwetu jombaaa tutaonana ila swala brake halipo ni nguvu imekosekana na wala sikulisimamisha mimi lilisimama lenyewe!!
 
wanatoa copy spare part za photocopy kwa sh 30 ?, walai hii sasa kicheko. hahaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom