Unaelewaje hii picha.

Unaelewaje hii picha.

tz1

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
2,121
Reaction score
536
IMG_8821.JPG

Kama haamini vile kilichotokea.
 
mpunga mtamu we haacha kabisa!Unadhani alitegemea vitabu vingerudi roma?
 
Muone alivyovimba yeye anadhani ni unene kumbe dhambi zimemfumuka ili kila Mtanzania amuone
 
Anafikiria baada ya hapa... Maisha yatakuwaje eti.... ? Nae aliisha Zoea kuitwa Mzee na ulinzi mkubwaaaaa! Maisha bwana !
 
mbona jamaa kama amelala au anawaza nini kitatokea baada ya hapo.
 
hii kali jamaa anajifanya mwema sasa ngoja tuone amesema bunge lijalo atatupa ukweli halisi
 
Jamaa nikama wamelazimishwa kuwepo hapo.
 
Back
Top Bottom