Unaelewa nini?

Unaelewa nini?

Haaa haaaa haaaaaa! haya simulia ila usije ukawa kama MziziMkavu, Hadithi ndeeefuuuu... mi nitaondoka

sawa mamii, hebu mimina wine kwanza tushushe stress kabla sijaanza!!

yani mpaka utafiti ajisikie jooooto wakati sie huku high table tunakula kuku..!

hadithi ni nzuri unajua! utaipenda..!
 
Last edited by a moderator:

Enheeeee!! Tiririka Babiiiii...... we si umeniita Mamiii
 
utafiti kakimbia?? mi nataka aone wivu bana...!! unajua ii GOLD imekuja ki vere vere romantic yani!

mpaka naisi napendwa to the maximum! imagine price.. yani napendwa mpaka nahisi kila wakati ni morning glory!
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1394879448974.jpg
    1394879448974.jpg
    33.2 KB · Views: 42
Last edited by a moderator:
sawa mamii, hebu mimina wine kwanza tushushe stress kabla sijaanza!!

yani mpaka utafiti ajisikie jooooto wakati sie huku high table tunakula kuku..!

hadithi ni nzuri unajua! utaipenda..!
Price unamskia mura? Kama sio yeye vile...vile mayai bei gani sasa?
 
Last edited by a moderator:
utafiti kakimbia?? mi nataka aone wivu bana...!! unajua ii GOLD imekuja ki vere vere romantic yani!

mpaka naisi napendwa to the maximum! imagine price.. yani napendwa mpaka nahisi kila wakati ni morning glory!

Sijakimbia nilikua sehem mbaaali na mamaaa
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
mamaa yupi vile? usiniambie km ni Price bana!! hahaaaaa!! sitaamini kabaisa!

hahahaaaa!! mi niko DUBAI napata supper..! mnasemaje huko mbagala kuu? lol!
Haaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaa......! si wazima bhana... halfu yule anayetangaza ITV, Ana semaga Mimi ni Joooooooohn Marato Iiiiiiiii Tiiiii Viiiiiii....... Ndugu yako eeeeh!
 
yule jamaa? akchuale, ni kama namfaham kwa sababu wakati niko Los Angeles kule beverly hills, nilipata habari kwamba yuko kwenye shida sana ya kazi! so nikaongea na mengi pale IPP, nikamwambia ampe kijana kazi...!

ofcoz uwa nawatumia USD 20,000 kila saa kwa ajili ya matumizi madogo madogo...
 
Haaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaa......! si wazima bhana... halfu yule anayetangaza ITV, Ana semaga Mimi ni Joooooooohn Marato Iiiiiiiii Tiiiii Viiiiiii....... Ndugu yako eeeeh!

Hahaahahha kutoka john marato anafata Excel ahhaahah
 
Last edited by a moderator:
mamaa yupi vile? usiniambie km ni Price bana!! hahaaaaa!! sitaamini kabaisa!

hahahaaaa!! mi niko DUBAI napata supper..! mnasemaje huko mbagala kuu? lol!

Mbona nilikupa order ya mayai hujaleta? Kwani gongo la mboto kuna mtaa unaitwa dubai?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom