Unaelewa nini juu ya picha hii?

Unaelewa nini juu ya picha hii?

yajutu

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
951
Reaction score
1,208
ef66d8bde592d51010b63aa643a3c66d.jpg
 
Kwa nini shetani hakwenda kumgeuza yule maskini?
 
hivyo vitu vinatokea sana hapa Duniani..Ni wachache sana wenye roho ya utu
 
Shetani huyo katengenezwa na wadhungu wakampa rangi ya kiafrica
 
Angekuwa nacho angekuwa yuko kwenye gari tena ya nguvu hata yeye anatafuta, anasaga lami.
 
Kila kitu shetani tu.angekuwa ameshika maua mngesema malaika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom