juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,480
Kwa taarifa yako wewe sio mwana ccm damu kama unavojipambanua,isipokuwa huna akiri kichwani mwako.chama kina wenyewe hicho. Na ndio hawa wafuatao
ALLY H MWINYI kamrithisha mwanae Husein mwinyi ni waziri
JAKAYA M KIKWETE kamrithisha mwanae Ridhiwani kikwete ni mbunge
JULIUS K NYERERE kamrithisha mwanae Makongoro nyerere ni mbunge wa africa mashariki
SAMWELI SITA kamrithisha mkewe anagombea ubunge urambo mashariki baada ya mumewe kustaafu
SAMWELI SITA anamrithisha mwanae Beni sita anagombea udiwani jijini dsm kata ya msasani
SINDE WARIOBA anamrithisha mwanae Kipi warioba anagombea ubunge jimbo la Kawe jijini dsm
MAKAMBA amemrithisha mwanae January makamba sasa ni waziri
NNAUYE amemrithisha mwanae ambae sasa anagombea ubunge jimbo la mtama
Sasa wewe unaejifanya ccm endelea kuburuzwa utaishia kuwa kada hata ukuu wa wilaya huapati
Ni Vyema Pia Kama Ungeongelea Pia Ukoo Wa Mzee Mtei Ndani Ya Chadema....!!
nyerere je? Kikwete?Mtei alianza from scratch. Wote tunajua ukianza jambo lazima uanze na ulio karibu nao
Kweli nyani haoni kundule, chambua na uongozi wa chadema ulivyo hadi sasa ili tupime kama wewe ni mskule au njaa inakusumbua.Kwa taarifa yako wewe sio mwana ccm damu kama unavojipambanua,isipokuwa huna akiri kichwani mwako.chama kina wenyewe hicho. Na ndio hawa wafuatao
ALLY H MWINYI kamrithisha mwanae Husein mwinyi ni waziri
JAKAYA M KIKWETE kamrithisha mwanae Ridhiwani kikwete ni mbunge
JULIUS K NYERERE kamrithisha mwanae Makongoro nyerere ni mbunge wa africa mashariki
SAMWELI SITA kamrithisha mkewe anagombea ubunge urambo mashariki baada ya mumewe kustaafu
SAMWELI SITA anamrithisha mwanae Beni sita anagombea udiwani jijini dsm kata ya msasani
SINDE WARIOBA anamrithisha mwanae Kipi warioba anagombea ubunge jimbo la Kawe jijini dsm
MAKAMBA amemrithisha mwanae January makamba sasa ni waziri
NNAUYE amemrithisha mwanae ambae sasa anagombea ubunge jimbo la mtama
Sasa wewe unaejifanya ccm endelea kuburuzwa utaishia kuwa kada hata ukuu wa wilaya huapati
achana nae huyo, na yeye amefata kutoka kwa mzazi wake,upambe kwa wanasiasaKweli nyani haoni kundule, chambua na uongozi wa chadema ulivyo hadi sasa ili tupime kama wewe ni mskule au njaa inakusumbua.
Mtei alianza from scratch. Wote tunajua ukianza jambo lazima uanze na ulio karibu nao
Si uelezee wewe hiyo ya mtei km waiju?toa uchambuzi wako na ww...tusaminishe.
KIGOMA MALIMA - Ali Malima
RASHID KAWAWA - Vita Kawawa
MOSES NNAUYE - Nape Nnauye-
JOB LUSINDE Livingstone Lusinde
Malechela kamrisisha mkewe,anagombeau bunge,Kawawa karisisha mwanae Vita,yaani wako wengi mno,Mgimwa,Lusinde,Bulembo
Kweli nyani haoni kundule, chambua na uongozi wa chadema ulivyo hadi sasa ili tupime kama wewe ni mskule au njaa inakusumbua.