Unadhani Wameambizana Nini?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
10599136_1497729073866944_3532076105779584328_n.jpg
 
muda si mrefu chadema yote itakuwa ccm. hapo jamaa amesharudi tayari, sio cdm tena. magufuli anajua sana kumlainisha mtu.
 
Magu: Kipindi cha uchaguzi kidogo mnitoe roho wewe na rafiki yako.

Sumaye: Aaaah..... usijali mtu mimi na wewe dam dam.
 

Magu: Una Bahati Sana Mzee Nilikuwa Nataka Wiki Hii Hii Nikunyang'anye Lile Eneo La MVOMERO Ila Adhabu Ya Moyo Inakutosha.
Fred: We Acha Tu Yaani Hata Hapa Nimeshikwa Na Mkojo Kwani Nilipokuona Ghafla Nilijua 40 Zangu Zimetimia Na Nakamatwa.
Mama Sumaye: Mheshimiwa Rais Tunaomba Tu Yaishe Halafu Muda Wowote Tunarudi CCM. Sijui Una Tsh Elfu 10 Hapo Ututoe Tukale!
 
Maguf: Nilishaanza kuogopa mana niliona kama unafanya kweli.
Suma: Ahhh ni hofu yako tu kwani si tulishapanga.
Maguf: Poa
 
Magu: aisee vipi kale ka-plot ka mvomelo?

Sumaye: boss, niachie hata kile wajukuu wakitumie..nitakufa Mimi

Magu: basi akikisha unatumia square meter 345.013 uweke ka-residential house ....

Hizo square meter 785. 037 zirudi kwa wananchi..


Sumaye: aaaakha! Ak.....akk......akh-as.....aksante mkuu. ( mikono ikiwa inatetemeka)
 
Back
Top Bottom