Unadhani nani mkali 20% & Diamond?

Inabd sometyms uwe unaelewa cjamtetea diamond kuvaa sket coz cio issue nzur hata kdogo, lakn 2kiendelea kuidscuss itabadlisha nn? Kwani wangap wamefanya ya ajab na mmewaacha, by the way he is my funny cna nnacho gain kutoka kwake inabd uelewe, tatzo lenu mkimchukia m2 mnataka kla m2 amchukie.

Mwanaume kamili unaweza kufanya makosa kibao jamii ikakuelewa kwani hukuna aliye mkamilifu ila kosa la la mwanaume kuvaa skirt , gauni, vitopu pedo , kua choko, shoga , wali na nazi na tabia za kike kike , hilo ndo kosa kubwa mwanaume anaweza kulifanya na usitegemee jamii ya wastaarabu ikakuleewa kabisa.

Anatuharibia watoto wetu unajua fika watoto wetu wanapenda Bongo fleva kuliko nyimbo za magharibi kwa iyo wakimuona chai jaba kavaa skirt ama gauni ama alivo wali nazi basi watoto wataiga na kudhani kua mi sawa kwa mwanaume kua choko na kuvaa sketi.

Ndo mana tunalaani!
 
Asa ucipopata mashabki ukali wako 2taujulia Wap? Chumbani au!! Ukali mnaouzungumzia nyie ni upi, ustaarabu au!! Mmekomaa na mada ya sket!!! Duuuh bnadam nomaa

kwahyo ukiwa na rundo la wafuasi basi we ni mkali?!!
komaa kiakili wewe raia,kuna artist kibao wanafanya vizuri tatizo nyota ya kupendwa hawana!sikiliza nyimbo za Q~chillah,afande sele,solo thang,j moe,20%,one,mbishi,fid q,rama d,vumilia,barnabas n.k then uckilize ben paul,weusi,diamond,hemed,dimpoz wa vpedo,ney wa mitego,bonge la pussy,timbulo n.k
ndo utajua nini maana ya nyota ya kupendwa+ndumba za kina babu fulan na ostadh j na mtwara
 
Mtakalia kulalamika wenzenu wanasonga mbele, kama ni ndumba na wao c wakatafute?
 
Kama kwa kina P square alienda kwa Kuibia almanusra afukuzwe !

Now unaropoka domo kufanya collabo na kina Chriss Brown ! Be serious !

This can't be we ndo utakaeniambia Jose Chamilione na Diamond Mkali Diamond !
:focus:

Kwa mwenye akili timamu anaelewa ni nini 20% anafanya ! Ila mjinga mjinga hawezi kuelewa ! Nakuendelea kudatishwa na Domo !

LMFAO
jamani huyo 20% anafanya lipi tuambieni basi. Mpeni Diamond haki yake. mweeh!
 
Huko mtaani kwenu ndio mna muda mwingi kiasi cha kuanza kubishana mambo yasiyo na maana kama hayo. Nilijua mngekuwa mnabishana kati ya kilimo cha vitunguu na alizeti kipi kinalipa zaidi.
 
Hahahahahaaaaaaa.......
Woteee ni maraisi diamond ni rais wa wasafi .....20% ni rais wa wachafu.
 
jamani huyo 20% anafanya lipi tuambieni basi. Mpeni Diamond haki yake. mweeh!

Lipi kivipi

Kuonekana kwenye magazeti ! Na skendo za kishenzi ?

Kunyoana vipara na mpenzi wake ili wa make headlines !

Labda ni lipi unalolizungumzia wewe ? 20% halifanyi

Kama mziki 20% anaufanya kuna nyimbo katoa ya Mali za Urithi sijui kama umesikiliza !

Kama una akili timamu utaielewa !
 
Siku zote napenda miziki ya 20%
Nikumbuka nyimbo ya mama Neema Neema najaribu kusema zina mafunzo
 
20 namkubali sana anaimba vitu relevant katka jamii, siyo we asubuhi had jion mapenzi . kwani nani hajawah kupend, kupendwa na kuachwa. maana ndo content za huyo mwingn angalia nenda kamuambie, mbagala, moyo wangu, mawazo , nimpende nan ,up to my number one mapenz tu. cheki sasa MAMA NEEMA, TAMAA MBAYA, YA NINII MALUMBANO. yuko vizur aowaz ni 20 per combineshn sound combinenga ,nakukubali sana kaka . Domo ni popular kwa mapenz yuko too rigd simkubal hat kiduch
 
Lipi kivipi

Kuonekana kwenye magazeti ! Na skendo za kishenzi ?

Kunyoana vipara na mpenzi wake ili wa make headlines !

Labda ni lipi unalolizungumzia wewe ? 20% halifanyi

Kama mziki 20% anaufanya kuna nyimbo katoa ya Mali za Urithi sijui kama umesikiliza !

Kama una akili timamu utaielewa !

Sikatai kama Bw. Asilimia Ishirini anafanya mziki. Anafanya mziki mzuri tu.
Lakini Diamond mziki anaoufanya umemletea mafanikio makubwa tofauti na 20%, kwa hivyo lazima tukubali.
ukizungumzia headlines making kwa ishu za hovyo hovyo uko sahihi pia, lakini usisahau basi kutaja achievements za Diamond kama vile tuzo 7 za Kili, BET nomination, Collaborations with mwanamuziki mkubwa wa Kinaijeria.
sasa hivyo vielelezo Bw. Asilimia Ishirini hajavifikia...Kama huna akili timamu lazima utabisha.
 
Nyie nyote mabw....ge kujadili maisha na kazi za watu zitakusaidia nini? sibora ungeweka kazi yako watu wakaijadili labda kuna point zingekusaidia kusonga mbele.kweli nyie amnazo jinsi mnavyo waponda ndivyo mnavyowapa darasa wafanye nini ili wazidi kusonga mbele.ukitaka ufanikiwe kimaisha ongeza namba ya maadui tena wakutoka Dar es salaam.nakwambia hao maadui ndio watakutengenezea smart business plan bila wao kujijua nini wanachokifanya.watashangaa unazidi kusonga mbele,mwisho watadai unatumia uchawi bila kujijua wao ndio waganga wako.
 
Kama kwa kina P square alienda kwa Kuibia almanusra afukuzwe !

Now unaropoka domo kufanya collabo na kina Chriss Brown ! Be serious !

This can't be we ndo utakaeniambia Jose Chamilione na Diamond Mkali Diamond !

:focus:

Kwa mwenye akili timamu anaelewa ni nini 20% anafanya ! Ila mjinga mjinga hawezi kuelewa ! Nakuendelea kudatishwa na Domo !

LMFAO
Binadamu kwa kulonga !?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom