Unadhani nani mkali 20% & Diamond?

hapa sawa unamshindanisha torres na hazard alafu unasema TORRES yupo juu kwa 7bu anapata pesa ndefu,kuingiza pesa nyingi ktk fani yako haimaanishi kuwa upo vizuri upande huo,beckham alikuwa na kiwango gani ktk soka?Na mbona alikuwa anapiga pesa ndefu kupita claudio makelele?
Hiyo ni mifano tu ila tukirudi kwenye mada kimuziki 20% YUPO JUU ZAIDI YA NDOMO,
ILA KWA SENTI,KUVAA VIMINI NA KUPAKA INA JABA YUPO JUU MARA ELFU 1000
 
Bora umeongea.
Watu wanaamini kupiga hela ndefu katika fani ndo kua mkali wa fani husika...

Ndo mana nikawapa mfano wa Diddy na Eminem,
Ama Jay Z na Eminem.

Ulivotoa mfano wa Beckham umemaliza kabisa....
Beckham alikua mtupu sana lakini hela inaingia tu....
 
Mtazamo wangu...
1.Sauti-Diamond
2.Mashairi(Ujumbe)-20%
3.Kucheza-Diamond
4.Muonekano(Star look)-Diamond
5.Nyota ya kupendwa-Diamond
6.Ubunifu na kujituma-Diamond
Hitimisho: kulingana na vigezo tajwa hapo juu nathubutu kusema Diamond ni mkali zaidi ya 20%
 
Kama kwa kina P square alienda kwa Kuibia almanusra afukuzwe !

Now unaropoka domo kufanya collabo na kina Chriss Brown ! Be serious !

This can't be we ndo utakaeniambia Jose Chamilione na Diamond Mkali Diamond !

:focus:

Kwa mwenye akili timamu anaelewa ni nini 20% anafanya ! Ila mjinga mjinga hawezi kuelewa ! Nakuendelea kudatishwa na Domo !

LMFAO

Duuuuuh unahacira! Xema humkubali mchizi bac yaishe talalila nyngiiiii!
 
Ukitaka thibitisha hilo 20% aandae show siku moja na diamond halafu uone atakayejaza ukumbi ni nani.
Kwani wewe mtu kufanikiwa kimziki ni nini? Nadhani ni kuimba na kuifikia watu wengi wakamjua na kupenda kazi zake akaingiza pesa.
Haijalishi uwe mkali kiaje kama watu hawatakuelewa unatoa ngoma unaishia sikiliza wewe na jirani zako basi mziki utakuwa bado hujafanikiwa.
Kumcompare mohamed ally na floyd si haki kwakuwa wamekuwa kwenye masumbwi katika vipindi tofauti may be ally naye angeanza masumbwi recently angekuwa ana pesa.
Diddy yeye utajiri wake unatokana na ujasiriamali na u producer na sio mziki.
Kwa hiyo unataka kusema wabongo wengi mamburula maana nadhani asilimia kubwa wanamkubari diamond zaidi ya 20%.

Ni saidie kumshangaa!! Asa ukali wanaoutaka wao ni Upi? Wacichoelewa nnn? Waache wataelewa keshokutwa kama cio mtondogoo!
 
Mizani ya muziki bongo haipo sawa,wasanii wengi wabovu wanafanya vizuri Sokoni,walioshuka chati nao sio kwamba hawajui,kuna watu wameshika remote,ukichanganya 'fitina' na 'uchawi' wa akina sijui Babu nani yulee ndo balaaaaa
 
Bora umeongea.
Watu wanaamini kupiga hela ndefu katika fani ndo kua mkali wa fani husika...

Ndo mana nikawapa mfano wa Diddy na Eminem,
Ama Jay Z na Eminem.

Ulivotoa mfano wa Beckham umemaliza kabisa....
Beckham alikua mtupu sana lakini hela inaingia tu....

Asa ucipopata mashabki ukali wako 2taujulia Wap? Chumbani au!! Ukali mnaouzungumzia nyie ni upi, ustaarabu au!! Mmekomaa na mada ya sket!!! Duuuh bnadam nomaa
 
Mtazamo wangu...
1.Sauti-Diamond
2.Mashairi(Ujumbe)-20%
3.Kucheza-Diamond
4.Muonekano(Star look)-Diamond
5.Nyota ya kupendwa-Diamond
6.Ubunifu na kujituma-Diamond
Hitimisho: kulingana na vigezo tajwa hapo juu nathubutu kusema Diamond ni mkali zaidi ya 20%

Star look kisa ana domo ka chai jaba ama
 
Alhaji twenty paa ni mkali.

Anaweza asiwe na umaarufu kama wa daimondi kutokana na mambo mengi kwani kwenye showbiz kupata mafanikio/kukubalika sio kipaji au ubora wa kazi pekee bali mambo mengi yanahusika.

Miaka kumi kutoka sasa nyimbo kama za 20% kama tamaa mbaya, mtoto tulia, malumbano,maisha na binti kimanzi zitakuwa hazijachuja kulinganisha na za daimondi kama number one, kamwambie, moyo wangu n.k.

Sasa hivi nyimbo za J Nature za miaka 10-15 iliyopita ukizisikiliza bado hazijachuja kulinganisha na nyimbo za Dully sykes, Mike tee na TID za muda huo, ingawa hawa jamaa kuna muda walikuwa na umaarufu kuliko J nature.
 
Jamani matusi ya nini? Kumkashfu mtu mwenzetu kwa maumbile aliyopewa na Mola si vema jamani! Hata kama humkubali si busara kuporomosha matusi!
 
Inabd sometyms uwe unaelewa cjamtetea diamond kuvaa sket coz cio issue nzur hata kdogo, lakn 2kiendelea kuidscuss itabadlisha nn? Kwani wangap wamefanya ya ajab na mmewaacha, by the way he is my funny cna nnacho gain kutoka kwake inabd uelewe, tatzo lenu mkimchukia m2 mnataka kla m2 amchukie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom