Unadhani mtoto yupi kati ya hawa kapata malezi sahihi?

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,909
6,702
Hii picha ilipigwa mwaka 1960 nchini Canada ikionyesha reaction ya watoto watatu baada ya kushuhudia wanandoa wakipigana mabusu


FB_IMG_1615782503445.jpg
 
Hiyo picha bado haina jibu ulilo uliza kwasabb umeitafsiri wewe utakavyo.

Mtoto wa kwanza kulia amechoka na hivyo anapiga mwayo wa uchovu

Mtoto wa katilati anahisi uchovu kiasi cha kujisikia macho kuwa mazito hivyo anayafikicha kujaribu kujuondoa ktk hali hiyo.

Na watatu ameweka makini yake yote kwa tukio linalo endendelea hapo.

HITIMISHO
huwezi kubaini yupi kati yao anamalezi bora/mema na mwingine hana
 
Back
Top Bottom