Unadhani mpaka sasa nguo hii imeshanyooka kwa asilimia ngapi?

Unadhani mpaka sasa nguo hii imeshanyooka kwa asilimia ngapi?

Sasa mbona hiyo switch socket haina on/off tujue kama anapiga pasi kweli( Je tunazugwa kwamba CCM ni ileile)? Mpaka hapo ana 1% - kuunganisha pasi na kufanya kama anapiga pasi ndicho alichokifanya mpaka sasa tunasubiri matokeo Je itanyooka( uchumi wa Taifa na mtu mmoja mmoja?)
 
ikinyooka kwa asilimia zozote itatunzwa wapi au katika mazingira yepi ili isijikunje tena?. ni swali la muhimu kujiuliza maana kuinyoosha mpaka inyooke kuna gharama zake.
Tutaitengenezea kabati maalumu na kuitunza humo ili isikunjike kwa urahisi
 
Back
Top Bottom