Unadhani Le mutuz alichangia nini?

Unadhani Le mutuz alichangia nini?

TOWASHI

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
294
Reaction score
181
Unadhani alichangia nini kwenye maoni ya kupata katiba mpya....hasa ukizingatia yeye ni/si mburulaz
 
Walivyofanana na capt komba mawazo yao yatakuwa sawa. WAZEE WA MSITUNI
 
Leo kaonekana njiani akielekea Tanga kwenye msiba!
 
Leo kaonekana njiani akielekea Tanga kwenye msiba!

ImageUploadedByJamiiForums1412958050.149953.jpg

Msibani!
 
Tulipishana naye maeneo ya kwa MKONGA akiwa ndani ya VITZ nadhan ndo alikuwa anaelekea huko msiban!
 
Huyu bazazi bac 2. Ngoja ninyamaze kimya. Maana nikianza naogopa za uso za zamda kageuka. He should really change.
 
Huyu sidhani hata kwenye vikao vya familia yao huwa wanamshirikisha kuchangia mawazo
 
huyu jamaa huwa ana mawazo mazuri ya kiujasiriamali, nakumbuka alitoa thread moja ikizungumzia jinsi wabongo tunavyoshindwa kuzitambua fursa of coz niliipenda sana coz ilikuwa ina mtazamo wa kutumsha kuhusu nin cha kufanya.
 
Back
Top Bottom