Unadhani Le mutuz alichangia nini?

Unadhani Le mutuz alichangia nini?

Nadhani kachangia haki ya kupiga picha na babezz kwenye katiba
 
huyu jamaa huwa ana mawazo mazuri ya kiujasiriamali, nakumbuka alitoa thread moja ikizungumzia jinsi wabongo tunavyoshindwa kuzitambua fursa of coz niliipenda sana coz ilikuwa ina mtazamo wa kutumsha kuhusu nin cha kufanya.

Alivyokufa Ipyana Mzee Malecela alilia sana, yule ndio alikuwa mtoto wa kuliendeleza jina la baba yake kwenye medani za siasa, lakini hili boya lililobaki Mzee ameamuwa kumuachia Mungu tu na kushukuru kwa yote.

Akimuangalia Mzee Mwinyi na mwanawe Hussein Mwinyi Mzee Malecela anaumia sana.
 

Attachments

  • 1413006578211.jpg
    1413006578211.jpg
    44.7 KB · Views: 191
  • 1413006595144.jpg
    1413006595144.jpg
    49.9 KB · Views: 177
  • 1413006622421.jpg
    1413006622421.jpg
    53.3 KB · Views: 177
Kubwa jinga lijitu umri umeenda 58yrs of age lakini kutwa kubishana na wajukuu zake,kufanya mambo ambayo hayaendani na umri wake yaani ni shidaaa,lakini yote hio ni kukosa kazi
 
Wakuombea wamuombee tu huyu babu maana ni mzigo wa Taifa haswa kwenye nyanja za kufikiri.
 
Wapiga majungu mna roho ngumuu!! Leo na kesho akifa utasikia ooh u know le bilionaire le mutuz he danjaring mara oooh simpera pire pimpampaa ati daima tutakukumbuka. Unafiki tu.
 
Who the hell is Le mutuz? Anafanya kazi gani au ni mtu wa aina gani mana mara nyingi nasikia ilo jina, je ni mwanasiasa, mfanyabishara, muuza unga, au mwanamziki au mengineyo?
 
Kabla haujamuwaza le mutuz, wewe ulichangia maoni kwenye rasimu ya katiba?

Halafu usisahau kuisoma na kwenda kuipigia kura.
Unadhani alichangia nini kwenye maoni ya kupata katiba mpya....hasa ukizingatia yeye ni/si mburulaz
 
Back
Top Bottom