Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Leo kesi imechelewa kuanza na pamoja na kuchelewa kuanza Jaji anaomba dakika 15 akajiridhishe na kutoa maamuzi baada ya utetezi kukataa kuhojiana na shahidi wa kwanza, lakini pia watuhumiwa kusema hawana cha kumhoji shahidi wa kwanza. Je, nilazima kuhojiana hata kama mtuhumiwa haoni sababu? Je, timu inapogawanyika mahakamani nakugawana watuhumiwa Kuna hoja ya kisheria hapo yakuomba kwenda kujiridhisha?
Wakati huo huo wakili Kibatala amedokeza kwamba kabla kesi kuanza walikaa na Jaji baada ya kuombwa waishauri mahakama namna yakwenda mbele baada ya makosa kufanyika tarehe 15/09/2021 ushahidi ulipoanza kutolewa.
Ukiangalia mahakama za wenzetu hii michezo haionekani Sana na majaji ufika wakiwa na nondo zote na pale anapoona kuna Jambo Lina utata uhojiana na Mawakili wa pande mbili kwa muda flani na kufanya maamuzi yanayotokana na uzoefu wa pande zote mbili badala yakwenda kujifungia.
Uzoefu unaonyeshaje?