Unadhani kazi unayoifanya ni ngumu sana....ona hii!!!

Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
71,021
94,074
Fuatilia mtiririko huu wa habari picha

Attachments

  • image001.jpg
    69.5 KB · Views: 204
  • image002.jpg
    143.7 KB · Views: 211
  • image003.jpg
    84 KB · Views: 199
  • image004.jpg
    96 KB · Views: 201
  • image005.jpg
    74.7 KB · Views: 196
  • image006.jpg
    79.8 KB · Views: 195
  • image007.jpg
    86 KB · Views: 193
  • image008.jpg
    84.4 KB · Views: 206
  • image009.jpg
    130 KB · Views: 194
shukuru hata huyo unayesema anakukomoa...wenzako wanalia mzee miezi sita hajamgusa katu
mkuu watu8 umeona mbali sana mana kuna jirani alienda kumshtaki mumewe hajampatia nilishangaa sana nikasema kumbe ukinyimwa basi unaenda kusema
 
ila iyo kazi khaa! hatari sana ila sio hatar sana kama ile ingine
 
Sasa hapo wanaenda kumla au..??

mkuu watu wanakula paka sembuse huyo chatu...huyo kitoweo ladha yake kama kambale vile, halafu hapo hakipotei kitu,ngozi ikichunwa inawambwa ngoma,meno yanatengeneza shanga
 
mkuu watu8 umeona mbali sana mana kuna jirani alienda kumshtaki mumewe hajampatia nilishangaa sana nikasema kumbe ukinyimwa basi unaenda kusema

Yaani bila unyumba ndoa lazima itetereke...
 
mkuu watu8 umeona mbali sana mana kuna jirani alienda kumshtaki mumewe hajampatia nilishangaa sana nikasema kumbe ukinyimwa basi unaenda kusema

Inabidi tuwe na huruma na majirani tuwasaidie kupunguza mashtaka
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…