Kazi ngumu na matusi

mtungu

JF-Expert Member
Dec 15, 2021
247
400
Karibu watu wote wanaofanya kazi ngumu matusi ndo raha yao.
Wabeba zege, mafundi wa nyumba, mafundi wa barabara, watu wa TANESCO wanaoweka nguzo. Karibia kada zote zinazofanya nguzo kutukana ni jambo la kawaida haijalishi kazi inafanyikia wapi iwe kanisani au msikitini.
 
Kalibu watu wote wanaofanya kazi ngumu matusi ndo raha Yao wabeba zege mafundi wa nyumba mafundi wa balabala watu wa tanesco wanoweka nguzo kalibu kada zote zinazo Fanya nguzi kutukana ni jambo la kawaida haijalishi kazi inafanyikia wapi iwe kanisani au msikitini
Sio kwa ubaya lakini, wewe na shabani wa ZAMALADI mwenye nyumba ya ULISI AU HULISI ni ndugu???😎😎
 
Nilipita gerezani, pale karibu na keko, nikiwa na shangazi yangu. Tuliwakuta majamaa wanaweka michuma ile ya reli.....aisee hayo matusi sasa, mpaka nilikosa pa kuweka sura yangu mbele ya shangazi. Wanakera sana.
 
Nilipita gerezani, pale karibu na keko, nikiwa na shangazi yangu. Tuliwakuta majamaa wanaweka michuma ile ya reli.....aisee hayo matusi sasa, mpaka nilikosa pa kuweka sura yangu mbele ya shangazi. Wanakera sana.
Was was wako tuu..shangaz yako hakua na asichokijua hapo ..kila neno na matumiza yale alikua anajua.So yeye labda ndio alipaswa kuona aibu kwako wewe unfortunatelly kumbe na wewe ulikua mkongwe unajua kila kinachoongelewa 😂
 
Hawa wa TANESCO ni wa kuchukuliwa hatua, wanaimba matusi mtaani hawajali kama kuna watoto.
Wanawafundisha watoto wetu tabia mbaya.
 
Back
Top Bottom