Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Mkuu MziziMkavu shikamoo
mbona mi huniamkiagi
Mmmhh wewe ndio uniamkie mimi
Sisi wa miaka ya 60's miss inabidi upige magoti
haaaa haaaaaa umenichekesha....anachuuja wadudu wa typhoid
haha 60 so uko sawa kingunge
Hahaha niwachache tuliozaliwa miaka hiyo, najua wewe sijui 2000 😀😀😀😀😀😀
Anachota maji
nitakuwa nakuamkia shikamoo bebi
MziziMkavu ulipotea kwa muda kwema kiongozi?