Unadhani hawajisikii vibaya?

Hili swala linazidi kukua kwa Kasi. Sijajua tunaelekea wapi
 
Asante kwa kumjibu. hua wanadhani kwamba its an easy task to do kama kuteleza kwenye utelezi,
 
Umenena lililo jema kabisa kwa siku ya leo munbu akubariki mkuu.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kaka nlikuambia kua watakuja baadhi na kutoa kejeli zao kama huyo...ameshindwa kujibu hoja ya uliyoisema ameishia kusema vijana waisome namba...na ndio mawazo hayo hayo na serikali yao,
 
Dah umeandika kwa hisia sana.. Ungesindikiza na ule wimbo ameimba darasa na lina.. jina siujui ila ktk korasi Lina anaimba kila kunapokucha afadhali ya jana.... Au ule wa Bellah na Banana.
 
Mkuu Drc kaskazini ni Rahisi kupitia Rwanda,na kusini ni Rahisi kupitia ,Zambia,kati ni kupitia kigoma
Utaona wazi kabisa hii ya Rwanda itarahisisha kubeba mizigo ya Goma na kivu ya kaskazini
 

hela za pangaboi zingeweza jenga mradi wa mpunga na mashine hadi wa ekari 20,000 na kutoa maelfu ya ajira. inabidi kukomaa. wenzako wakivaa suti asubuhi na wewe vaa ukazurure.
 
Utasikia mtu anasema mujiajiri sijui mtaji unaupata wapi? soko la mazao n.k
Kujiajiri sio dhana rahisi kama inavyochukuliwa na wanasiasa...imagine wewe ni fresh graduate huna mbele huna nyuma huna chochote unaambiwa sio lazima kuajiriwa unaweza kujiajiri
Unapozungumzia kujiajiri unahitaji mtaji , nenda kakope bank uone
 
Basi ata wangepewa mikopo ya mitaji...kuna vijana wana ideas nzur za kujiajir ila akifikria Hana mtaji anataman kujiua!!!
Sina kazi.....naambiwa bodi ya mikopo wananidai nilipe na faini juuu kisa nmechelewa kufanya marejesho wakat sina kazi!!!
Hapa ndo ninapotaman ata kufa
 
Kujiajiri sio dhana rahisi kama inavyochukuliwa na wanasiasa...imagine wewe ni fresh graduate huna mbele huna nyuma huna chochote unaambiwa sio lazima kuajiriwa unaweza kujiajiri
Unapozungumzia kujiajiri unahitaji mtaji , nenda kakope bank uone
Halaf hao wanaokwambia ujiajir wao wameng'ang'ania vyeoo wanastaaf ila bado wanataka waajiriwe kwenye vtengo tuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…