Unadhani dogo anamwambia nini mwenzake!!

Unadhani dogo anamwambia nini mwenzake!!

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
36,474
Reaction score
45,048
382331_142554509240215_749312479_n.jpg
 
Haijalishi anachomwambia, ila ni nzuri sana kutizama.
Kweli uanamme ni wa kuzaliwa, haufundishiki.
 
Tazama vizuri aliyeshikwa mkono ni nani .................!!
 
Nimeyapenda hayo maseta safi sana na hizo kofia walizovaa.
 
anamwambia dada yake mimi nakimbia nakuacha, dada anasema usikimbie
 
Watoto wanamaadili, nguo zao ni za heshima!! kaptura na sketi vyote chini ya magoti.
 
Back
Top Bottom