Unacheka nini?

Suala hapa sio la kucheka ni kuwahurumia na kuangalia namna ya kuwasaidia.Hakuna kiumbe yeyote aliyeomba awe jinsi alivyo!!!Ilitokea neema tu umekuwa hivyo.hakuna aliyeomba urefu wala ufupi,nyama nyingi wala chache!!Huo ni muingiliano/kutobalansi kwa homoni tu.Mungu wasaidie wawe na furaha maishani
 
Back
Top Bottom