Unachangia Mada au Unatetea ujinsia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unachangia Mada au Unatetea ujinsia?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by RGforever, Sep 23, 2011.

 1. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,191
  Likes Received: 1,910
  Trophy Points: 280
  HABARINI ZA LEO WANAJAMVI NATUMAINI MU WAZIMA WA AFYA KAMA NI MGONJWA "POLE"

  Nimekuwa kwa mda mrefu nikichangia Mada mbalimbali hapa na zingine kuzisoma.. ila kuna kitu kimoja kimenikera kidogo.

  Haki za Wanawake
  Nakubaliana na mikakati mbalimbali ya kumwinua mwanamke na kumtoa katika utegemez wa mwanamme.. Lakini sasa utakuta baadh ya wanawak ndo wamechukua chanc hyo kuamua wao wenyew kuw kila ki2 atakachofanya mwanaume basi na yeye afanye au kila atakachotakiw kufany wanamke bas na mwanamme afanye. Kuna mada mbalimbali zinatolewa humu. Mfano "Jinsi ya kumfurahisha Mwanaume" lakini sasa anatokea mtu kuliangana na ujumbe uliopo ndani,anasema hata mwanamme anatakiwa kufanya hvyo. Lakini ajaangalia kuwa Ujumbe umemlenga YEYE.. Sasa badala ya kuchangia vizuri na kuchukua ujumbe huo anabaki kuwaza haki sawa,kwamb kama mi natakhwa kufanya hv bas nae anatakiwa kufanya hvy hvy.. Sikatai kuwa 2natakiwa kufurahishana ila kumbuka kuwa Mada hiyo imekulenga we mwanamk, hata sis zipo ambz zinatulenga..

  Ushauri:
  Haki ndio unatakiwa kupewa lakin kama ki2 kinakuleng wew usitake kumsukumia tena mwenzako,eti na yeye pia afanye. Hata ndoa sidhan kama itadumu kama kila mmoja atataka kuwa Fahari.
   
 2. hope 2

  hope 2 Senior Member

  #2
  Sep 23, 2011
  Joined: Apr 28, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo lenu mnapenda kutendewa mema ila sio kutenda.
  Na kila siku mmekua mnaweka mada za kuwalaumu wanawake, mara wanawake hivi, mara vile hadi mnaudhi...
  Utadhani Mwamamke ndio mkosaji na ndio anatakiwa kufundishwa tu katika jamii...Ebo..!

  Kama upo kwenye ndoa au mahusiano, unachokipata/unachotendwa na mkeo ni matokeo ya unavyomtendea. Kama unamheshimu, atakuheshimu, kama unampenda, atakupenda, kama unamdharau, atakudharau..etc.

  TAFAKARI, CHUKUA HATUA.. LOL!
   
 3. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,191
  Likes Received: 1,910
  Trophy Points: 280

  Sasa kama tunawatesa kwa kuwaambia wanachotakiwa kukifahamu mbona Kitchn party zipo.. Si wanafundishwa.. hapa mi nadhan hujaelewa mada vizur.. Ninachojarib kueleza ni kila mmoja afanye majukumu yake kwa mmewe/mkewe kama anavyoelekezwa
   
 4. hope 2

  hope 2 Senior Member

  #4
  Sep 23, 2011
  Joined: Apr 28, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Its simple,
  "Take care to get what you like or you will be forced to like what you get.."
   
Loading...