Chagua zawadi....mke wa mtu unaanzaje kuvuliwa nguo...
kutongozwa,kutoa namba ya simu mpk kuingizwa gesti....!!
mshenzi hapa na mchafu ni mwanamke
Umesomeka mkuuHapa ishu isiishie kwenye mwanaume kuanza kumvua nguo mke wa mtu, ifikie mpaka kwenye - Mke wa mtu kukubali kuvuliwa nguo na asiye mume wake.
Kuuongelea upande mmoja, unamaanisha kua wake za watu ni wepesi kukubali? Hawawezi kukataa?
Ijazie hizo nyama thread yako.
Mkuu hizi hacra za Leo ni 4GUlishawahi kuwaza siku ukute mkeo amemchanulia mwanaume mwenzio?