Sura, mavazi, kuongea, body language, kimo, umbile etc hivi vyote au baadhi ndo vinamfanya MTU ampende mwingine bila kumfahamu....Humjui hakujui, si rafiki wala si jamaa, ndio mara ya kwanza kumuona isitoshe kila mmoja na safari yake, unaanzaje kumpenda!?
Muonekano huwa unazungumza kwanza kabla ya sauti yako/yake.........ukikua basi haya utayaelewa na hayatakupa shida
Ndio mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo hapo sio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi nipo bwana, sema majukumu yamekuwa mengi, kwani na wewe ni mke wa mtu ili nianze kukupenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uko dunia hii? Ulipotea jukwaa hili nikadhani unavyopendaga wake za watu ulishikwaga ugoni[emoji3] wakakurestisha in peace[emoji16][emoji16][emoji16]
Kidding.
Utavunjwa miguu wewe endelea na wengine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi nipo bwana, sema majukumu yamekuwa mengi, kwani na wewe ni mke wa mtu ili nianze kukupenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]