Unaangalia EATV (Ukawa) au TBC and other TVs(CCM)?

Unaangalia EATV (Ukawa) au TBC and other TVs(CCM)?

Nipo eatv mkuu cwez kuangalia kampen za mkolon mweusi mm hata matangazo yao yanapoanza hua nabadilixha chanel
 
ImageUploadedByJamiiForums1445692638.922442.jpg
 
Nawezaje kupata huu mkutano online? Hakuna Livestream kokote kule hata ya sauti tu?
 
Naangalia eatv, serikali ya awamu ya tano. Huko kwingine ni editing kwa kwenda mbele.
 
Nimefarijika nimefungua Aljazeera nikawakuta wana report Live mkutano wa Jangwanni!
 
Back
Top Bottom