Shetani ni nani?
Shetani ni baba wa uongo, ni muasi, ni mharibifu na ni mungu wa watenda dhambi wote na waabudu miungu. Makazi yake kwa sasa ni kuzimu anasubiri muda ufike atupwe jehanamu, MKATAE USIMFUATE, MTAFUTE MUNGU WA HAKI, MTAKATIFU, MWEZA WA YOTE, BWANA WA MAJESHI, MUUMBAJI, MUNGU WA miungu, KWA YESU KRISTO HAKIKA UTAOKOKA.
Kumbe? Sasa ndugu yangu naomba unifungue na mimi nimjue MUNGU WA HAKI, MTAKATIFU, MWEZA WA YOTE, BWANA WA MAJESHI, MUUMBAJI, MUNGU WA miungu.
Huyu shetani kutoka wapi ndugu Kigundu
nauliza, shetani hakamatiki akafungwa ili tuwe huu nae, maana anatusumbua sisi watu wa munguShetani awali alikuwa malaika mkuu huko mbinguni, lkn kutokana na kujawa na tamaa za kujiinua zaidi kuliko BWANA MUNGU akaanzisha(akaasi) vita dhidi ya utawala uliotukuka na mtakatifu wa MUNGU matokeo yake alishindwa vibaya sana na kutupwa chini na nafasi yake haikuonekana tena mbinguni(soma biblia takatifu siwezi kukupa mistari ya kusoma kwani itakufanya uwe mvivu wa kusoma bible), baada ya kutupwa duniani kazi yake sasa ni kuharibu kazi ya mikono ya MUNGU kwa mfano hufanya kila linalowezekana kumharibu mwanadamu kwa kumfanya atende dhambi. Hakika ukiwa mtende dhambi tambua shetani kakuharibu, TUBU ILI DAMU YA YESU KRISTO IKUFANYIE MATENGENEZO KISHA ACHA KABISA DHAMBI.
nauliza, shetani hakamatiki akafungwa ili tuwe huu nae, maana anatusumbua sisi watu wa mungu
nauliza, shetani hakamatiki akafungwa ili tuwe huu nae, maana anatusumbua sisi watu wa mungu
Shetani awali alikuwa malaika mkuu huko mbinguni, lkn kutokana na kujawa na tamaa za kujiinua zaidi kuliko BWANA MUNGU akaanzisha(akaasi) vita dhidi ya utawala uliotukuka na mtakatifu wa MUNGU matokeo yake alishindwa vibaya sana na kutupwa chini na nafasi yake haikuonekana tena mbinguni(soma biblia takatifu siwezi kukupa mistari ya kusoma kwani itakufanya uwe mvivu wa kusoma bible), baada ya kutupwa duniani kazi yake sasa ni kuharibu kazi ya mikono ya MUNGU kwa mfano hufanya kila linalowezekana kumharibu mwanadamu kwa kumfanya atende dhambi. Hakika ukiwa mtende dhambi tambua shetani kakuharibu, TUBU ILI DAMU YA YESU KRISTO IKUFANYIE MATENGENEZO KISHA ACHA KABISA DHAMBI.