Unaajiri John ukamlipa Mwanahawa ukajiona una haki kumwadhibu John?!

gkutta

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
273
168
Hakuna upumbavu kama unapokuwa mwajiri akawa unamlipa mfanyakazi wako kwa jina lisolokuwa la kwake ukaanza kujiona ulikuwa na akili na haki ya kufanya hivyo ila yeye alikuwa na makosa. Aidha baada ya kuhakikisha umeondoa watumishi hewa itawezekanaje ukawa bado na mganyakazi Drodstus na kwenye payroll unamlipa Mpakanjia?
 
N

Ngoja wenyewe waje tuwasikie
 
Kama umeghushi kwa kweli ondoka tu.Za mwizi arobaini.
 
Tumia akili kidogo tu....wewe ni mwajiri...umepokea vyeti vyangu Daudi Albito Bushitio na ukaanza kunilipa kwa ujinga binafsi kama Kondakta Bundala .....leo wewe huyo huyo unafanya uhakiki wa wafanyakazi wako bado hukuona ulikuwa unalipa mfanyakazi hewa ukaendelea kumlipa Makondakta wakati hukumuajiri...halafu ghafla unasema Bashitio mjinga kuliko wewe?
 
Back
Top Bottom