Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,865
niko maeneo ya makirikiri kibaha kwa Mathias
Sehemu ya kubadili finra na mawazo
Kaja kijanannanwenzie wanaagiza kwa masharti tupe za baridii sana
Mpaka sasa nusu saa wanazo hizo bia si bora wa wangeagiza za moto tu
Kama na wewe una tabia ya kukaa na bia moja bar agiza ya moto
N matumizi mabaya ya fridge watches wanywa baridi wapige warudie baridi zaoooo
Niongezee sautiii??mnafanya tukose bia za baridi walati mnakunywa bia mbili tu
Kaeni kwenu agizeni bia muenjoy na familia zenu