Una Uwezo wa Kuzungumza Lugha Ngapi?

Vp kuhus wewe... unazungumza lugha ngap?
 
Kwa kweli Kinyamwezi ni salamu na maneno machache na kusikia mengi. Tatizo la kuzaliwa Ocean road...
Tupo wengi wa namna hiyo.Nimeshagundua kwamba ukuaji wa miji unaua lugha za kienyeji.Wanaotoka vijijini na kuhamia kwenye hiyo miji wanapooa na kuzaa watoto, hawazungumzi na watoto wao kilugha, wanatumia kiswahili tu.Mtoto baba yake Msukuma mama mpare, mtoto hajui kisukuma wala kipare.Ni kiswahili tu.
 
Nyiramba
Swahili
English
German
Little Bit Of Italian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…