Una siku kumi tu zakuishi duniani..........

Una siku kumi tu zakuishi duniani..........

TIASSA

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
3,104
Reaction score
3,952
Fanya umepewa siku kumi tu za kuishi duniani ndiyo ufe......
Lakini pia umepewa trillion kumi ndani ya hizo siku kumi:
na pia umepewa afya njema sana yaani ukofiti kila idara
utafanya nini.?? Ndani ya hizo siku kumi?
 
Fafanua kidogo ndung fit kila idara km zp na zp🙄🙁😀
 
Nitamrudia mungu kwanza,nitatoa mahitaji muhimu kwa familia yangu na kuwatatulia matatizo yao ,nitatoa misaada kwa watu wasiojiweza wawe yatima ,masikini n.k.nitapeleka fedha kwenye nyumba za ibada nikimaliza hapo nasubiri kufa tu
 
Nikutoa misaada kwa wasiojiweza na kujenga nyumba za ibada pamoja na visima vya maji.
 
Fanya umepewa siku kumi tu za kuishi duniani ndiyo ufe......
Lakini pia umepewa trillion kumi ndani ya hizo siku kumi:
na pia umepewa afya njema sana yaani ukofiti kila idara
utafanya nini.?? Ndani ya hizo siku kumi?
ntatoa rushwa trilioni tano ili nisiuliwe halafu nabaki na faida nusu!

Ngoma droo...
 
Nitamrudia mungu kwanza,nitatoa mahitaji muhimu kwa familia yangu na kuwatatulia matatizo yao ,nitatoa misaada kwa watu wasiojiweza wawe yatima ,masikini n.k.nitapeleka fedha kwenye nyumba za ibada nikimaliza hapo nasubiri kufa tu

Umesema vema..... utaitwa mbarikiwa
 
Nitamrudia mungu
kwanza,nitatoa mahitaji muhimu kwa familia yangu na kuwatatulia matatizo
yao ,nitatoa misaada kwa watu wasiojiweza wawe yatima ,masikini
n.k.nitapeleka fedha kwenye nyumba za ibada nikimaliza hapo nasubiri
kufa tu

we ndio mshindi njoo sasa uchukue
 
Nitaoa wake sita kwa mpigo. Robo ya fedha nitaacha benki in case.... zingine nitazunguka na wake zangu duniani mpaka siku yangu ifike. Zitakazobaki ni mirathi kwa wake zangu kwa kuniburudisha kwa ka muda hako.
 
Simple,pesa ina apa siku hizi,kwahyo ntatoa 2trilion kama ofa kwa daktari yeyote atakayeweza kuzuia kifo(kama chanzo ni gonjwa) kama si gonjwa nitatumia 2trln kununua special force ya rwanda inilinde,gues nitafanya nini na 8trln with abndnt of life
 
1/2 kwa ndugu na jamaa, 1/4 kwa wasiojiweza, 1/8 ponda mali kufa kwaja,seksi kwenda mbele bila ndom, itayobaki ya dharura.
 
Back
Top Bottom