mzee zako naona list ni ya zamaniii........siku hizi muda wa kusoma soma huna nini?
Soma moja inaitwa My sweet Audrina ..mtunzi kidogo kanitipotea
Hahahahhaa
Kwa kweli sina muda ila kama utapata audio novel nzuri nijulishe. Hata hivyo kuna Novel. ingawa za zamani ukisoma unakuwa kama unaona movie vile. inakuteka kabisa.
Tatizo novel nyingi nzuri pia zina movie.mfano ni hiyo Lord of the flies. na human being tuko attracted na image zaidi kuliko characters.
For Hard Copy napenda novel zenye less than 250-300 pages ambayo within a week niwe nimeshaimaliza.
Nikimaliza kufanya collection ya movies walizosugest nitakuja na huku.
mtazamaji mie ile kupewa characters tayari ndo sipendi, novels zinatanua uwezo wako wa kufikiri zaidi ya filamu.
mie naweka " star ring" bonge la handsome boy, hata nakuja kuonyeshwa "ray the greatest", na dissapoint na filamu nzima.