ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,740
- 42,169
- Thread starter
-
- #401
Naomba tulie pamoja😭😭Unataka kuniliza......
Hii ya mswaki imekaajeNiliyekuwa kila mwezi nina wawili wapya leo BP imenifanya mwaka wa pili naishia kulipa kupigwa mswaki tuu.
Uwiiiiiiiiiiiiiii bora ungekua hujawahi kuonjaUuuuuwiiiiii
Office ipo wapi🐒karibu ofisini kwangu next week 🐒
atakuja kukuchukua dereva na kukuleta, just be prepared 🐒Office ipo wapi🐒
Wamonaga nke oyaha!Watu wapole ndo wabaya zaidi. Huwa mnasubirinsiku Moja ya kulipua Kila kitu
😁😁 sawa🐒atakuja kukuchukua dereva na kukuleta, just be prepared 🐒
shukrani jazzilan 🐒😁😁 sawa🐒
Tusamehe😢Hua mnawaza nini?
HakikaTusamehe😢
AmenHakika
Mwanike, le waifu matilio gete lenelo. Kwandya lisumba, letena kiburi.
TranslateMwanike, le waifu matilio gete lenelo. Kwandya lisumba, letena kiburi.
Kupandika likema la cheneko kaji sana.
Ubebe kinehe mwanike? Ule wa cheneko?
Tumelaga li ChatGpt mwanike.Translate
Join to day haya sawa side🤣🤣🤣 kwanini sasa
Sitaki chatgp simuaminiTumelaga li ChatGpt mwanike.
Utanipa kazi ngumu sana. Ila nilimaanisha kiufupi wanawake wa namna hiyo hawapoSitaki chatgp simuamini
Wapo tupoooUtanipa kazi ngumu sana. Ila nilimaanisha kiufupi wanawake wa namna hiyo hawapo
tujipe pole au tujipongeze au tujitunuku kutoana viherehereDah noma we kama mimi
Pole sanatujipe pole au tujipongeze au tujitunuku kutoana viherehere