Una muda gani mpaka sasa?

Una muda gani mpaka sasa?

yaani ipo tu na sikumbuki mara ya mwisho nimeinyandua dk ngapi zilizopita maana sikuweka rekodi kwakweli,
Ooh kumbe leo leo uliichapa sasa si ungenyooka tu gentlemen
halafu,
mimi hata niguswe mabega yote mawili zigo haliendi mahali yoyote, maana nashukuru ni zigo zigo kweli nimejaaliwa šŸ’
Unaanza kujipakulia minyamašŸ˜Ž
 
uzuri members ni mashahidi jana nimeshinda humu! guys njoeni mnitetee.. :SchubertWalk:
WaapšŸ¤“? ulipelekwa wap na hili,šŸ˜‚
image_search_1779986838346.jpg
 
Back
Top Bottom