Kwa Dar es Salaam Kutwa kwa mtoto wa Secondary ni mateso.Hii kwa wanaume!!!
Kama wewe ni baba na unataka kumtengeneza mwanao awe baba, usikubali kumpeleka mwanao kwenye shule za boarding...
Ajira zipo mtaani...mfanye mwanao ajue kitaa zaidi kwa sababu mafanikio ya mtoto yanategemeana na mazingira yanayomzunguka.
The writer seems like hana exposure.Bandiko lako SI la kweli sikubaliani na mtazamo huo....no research no evidences to support your claims....sorry
Safi! Nimejifunza kituMtoto kubadirisha mazingira pia ni darasa zuri
Mtoto wangu wa kiume alikaa boarding mwaka mmoja aise tokea amerudi ukiingia chumbani Kwake ni kusafi sana na Kila kitu kipo sehemu yake lakini kabla ya hapo ilikuwa ukiingia chumbani Kwake ni timu timu ilikuwa sio ajabu kukuta viatu vipo kitandani
Maana yake nini, ulishindwa kumfundisha usafi na unadhifu akaenda kufundishwa shuleni. Huko boarding hata mimi siafiki kabisa kwa kijana wa tertiary school.Mtoto kubadirisha mazingira pia ni darasa zuri
Mtoto wangu wa kiume alikaa boarding mwaka mmoja aise tokea amerudi ukiingia chumbani Kwake ni kusafi sana na Kila kitu kipo sehemu yake lakini kabla ya hapo ilikuwa ukiingia chumbani Kwake ni timu timu ilikuwa sio ajabu kukuta viatu vipo kitandani
hayo mateso ya watoto kukimbizana na daladala (mfano Dar) na kuishia kurudi nyumbani saa mbili ya usiku umeona ni jambo jema kwa mtoto?Hii kwa wanaume!!!
Kama wewe ni baba na unataka kumtengeneza mwanao awe baba, usikubali kumpeleka mwanao kwenye shule za boarding...
Ajira zipo mtaani...mfanye mwanao ajue kitaa zaidi kwa sababu mafanikio ya mtoto yanategemeana na mazingira yanayomzunguka.
Is it necessary to use evidence toBandiko lako SI la kweli sikubaliani na mtazamo huo....no research no evidences to support your claims....sorry
Bandiko lako SI la kweli sikubaliani na mtazamo huo....no research no evidences to support your claims....sorry
Shida ilikuwa malezi yakoMtoto kubadirisha mazingira pia ni darasa zuri
Mtoto wangu wa kiume alikaa boarding mwaka mmoja aise tokea amerudi ukiingia chumbani Kwake ni kusafi sana na Kila kitu kipo sehemu yake lakini kabla ya hapo ilikuwa ukiingia chumbani Kwake ni timu timu ilikuwa sio ajabu kukuta viatu vipo kitandani
sasa unabisha nini? Labda mwanao awe mbabe huko boarding!Bandiko lako SI la kweli sikubaliani na mtazamo huo....no research no evidences to support your claims....sorry
Mbona sisi tulipelekwa bording shule za Serikali enzi za Mwalimu tukiwa na miaka 15 Form one hadi Six na tumetoboa. acha fix.Hii kwa wanaume!!!
Kama wewe ni baba na unataka kumtengeneza mwanao awe baba, usikubali kumpeleka mwanao kwenye shule za boarding...
Ajira zipo mtaani...mfanye mwanao ajue kitaa zaidi kwa sababu mafanikio ya mtoto yanategemeana na mazingira yanayomzunguka.
Fanya juhudi mtoto wako asikimbizane na daladala.hayo mateso ya watoto kukimbizana na daladala (mfano Dar) na kuishia kurudi nyumbani saa mbili ya usiku umeona ni jambo jema kwa mtoto?