Una mawe kwenye figo? Soma hapa

Nilikuwa sinywi maji kabisa hata wiki mbili sisikii kiu ilibidi nipewe vidonge vya kusikia kiu sasa hivi nashukuru nakunywa maji pia sisumbuliwi tena na kidney stone maana Kuna siku vilikutwa vimawe vitatu pia kuna tiba mbadala huwa natumia nikihisi maumivu
 
Una bahati
 
Nimekutikana leo na uho ugonjwa baada ya kufanyiwa kipimo cha utrasound, ,, maumivu yake ni mtihani,,,,nimeandikiwa dawa aina hii ya kuweka kwenye glass ya maji '( DISODIUM HYDROGEN CITRATE LIQUID ) na ya vidonge (FLAMAR-MX ,,,,,
 
Back
Top Bottom