Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,285
- 39,491
- Thread starter
-
- #61
Kama unaogopa kusema utamuoa pindisha tu sema ninamalengo ya kuishi nawewe mpaka siku zote ila sijui milele na daima ipi ndefu zaidi au niseme milele daima..... unakuwa umemaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu! ina maana January hii tu watatu tyr!?Demu akikolea kwa mwanaume mara nyingi haya maswal ndo huwa yanaanza hyu dem wa3 sasa ananiuliza hv mwakahuu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Duu! ina maana January hii tu watatu tyr!?
anyway,sema na moyo wako
Ni swali zuri
Isije kuwa huna malengo nae binti wa watu akapoteza muda wake bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofautisha kupenda na kutamani. Kushindwa kwako kumpa jibu la swali lake kwako tafsiri yake ya moja kwa moja ni unamtamani tu, humpendi.
Mtu unaempenda huwezi kushindwa kumpa jibu la swali hilo.
Na kumwacha kwenda kuoa asiye na mttNa malengo ya kumzalisha
Sent from my iPhone using JamiiForums
Na kumwacha kwenda kuoa asiye na mtt
am better here
Me kuna mwanaume nlikua nae since 2016 ila hatukuwahi kuwa na amani in mchezo wa kusalitiana kusameheana kuachana kuludiana vipindi vigumu na vyepesi mwenzangu kwa upande wake kafanikiwa kiasi ana biashara zake usafiri (pikipiki) na nyumba kajenga japo hajawahi nionesha....sasa mwenzangu akiwa na nyege break ya kwanza kwangu mmmh nkaona mbona mshkaji apa tunafanya mapenzi tu lkn kwenye mambo mengine yupo kivyake na wengineo nkaamua kumuuliza kama ananiona kwenye future yake kama me tutafika mbali kama mkewe akabaki ameduwaa....akasema cwezi kukujibu saiz kaondoka kesho yake akanipigia cm kua tuwe marafiki mpka atakapo badilisha mawazo.... Nkasema poa kila MTU kashika 50 zake....
Nilimuuliza ivo ili nijue nipo position gani kwake na kweli kumbe mtu anakuona kama friend ake tu nkashukuru Mungu nkaendelea na life langu nw najifeel peace ....
am better here
Malengo gani na mtu anayetaka kuniibia hela zangu! Malengo ni kupiga papuchi kama ni nzuri mengine mtajadili baada ya mwaka mmoja.
Kwan wewe umeshaandaa jibu gan juu ya swali hlo?Hahahaha mkuu dem wako utamjibu hvo kweli?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndo matatzo ya adolescenceHata sijawai waza hili leo ndo nakutana na hili swal but i love her
Sent from my iPhone using JamiiForums
Haya yako sasa, azae kwanza malengo yatafata
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yes nililigundua hilo ndo mana nkamuuliza ilo swali maana nisije kuwa nakataa wakaka.walio serious kisa nashikiria mahusiano mfu maana hataki hata umkumbatie afu nikiwa nae full kunitoa kasoro na kunitemea shit kisa mwenzangu kaanza shika vihela....Hahahha duu huyu jamaa kwel alikuw hakupend hta kupretend hakuna kbsa
Sent from my iPhone using JamiiForums