Una malengo na mimi.?

Sasa unakuwa na malengo nae kivipi wakati ktk phone book yako una mademu zaidi ya mia na wote unawataka uwakae hapo ni ana ana doo, atakayekuwa wa kwanza kuelekea kibla ndo unakuta sio chaguo lako la kwanza ila kwakuwa ni wakwanza kuingia chocho una pretend tu, nahisi hata kwako ni hivyo wewe bado hujui unachohitaji, ila kifupi hakuna mkamilifu, acha kumpotezea muda huyo binti.
 

Nsha pretend tyr



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hata wana saikolojia wanasema 75% ya maswali anayouliza mwanamke anakuwa na majibu tayari,hivyo ni bora kumuambia ukweli mapema itasaidia kuliko kudanganya.
 
Kama unaogopa kusema utamuoa pindisha tu sema ninamalengo ya kuishi nawewe mpaka siku zote ila sijui milele na daima ipi ndefu zaidi au niseme milele daima..... unakuwa umemaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…