Una malengo na mimi.?

Una malengo na mimi.?

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,285
Reaction score
39,490
Habari zenu ndugu zangu wana JF.

Leo nimekutwa na mazito haswaaa, swali gumu sana hili kulijibu. Wengi najua mshapitia au tunapitia kwa relationships tofauti na huwa tunakutana nayo.

Demu wangu ananiuliza kama nina malengo na yeye sijui hata nimwambiaje hapa jamani. Na mwanamke ukimwmbia una malengo naye ataanza kusumbua. Nimjibuje?

Mapenzi haya shikamooo!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari zenu ndugu zang wana Jf. Leo nmekutwa na mazito haswaaa swali gumu sana hili kulijib weng najua mshapitia au tunapitia kwa relationships tofauti na huwa tunakutana nayo.
Demu wangu ananiuliza kama nina malengo na yeye sijui hata nimwambiaje hapa jamani. Na mwanamke ukimwmbia una malengo naye ataanza kusumbua nimjibuje.mapenz haya shikamooo!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
In fact malengo lazima utakuwa nayo ila yategemea ni positive au negative...
Najua umenisoma..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu ndugu zang wana Jf. Leo nmekutwa na mazito haswaaa swali gumu sana hili kulijib weng najua mshapitia au tunapitia kwa relationships tofauti na huwa tunakutana nayo.
Demu wangu ananiuliza kama nina malengo na yeye sijui hata nimwambiaje hapa jamani. Na mwanamke ukimwmbia una malengo naye ataanza kusumbua nimjibuje.mapenz haya shikamooo!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mwambie mimba bila ndoa sawa na kucheza kamali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu ndugu zang wana Jf. Leo nmekutwa na mazito haswaaa swali gumu sana hili kulijib weng najua mshapitia au tunapitia kwa relationships tofauti na huwa tunakutana nayo.
Demu wangu ananiuliza kama nina malengo na yeye sijui hata nimwambiaje hapa jamani. Na mwanamke ukimwmbia una malengo naye ataanza kusumbua nimjibuje.mapenz haya shikamooo!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
kwani malengo ni nini?

ukiwa na jibu la hili basi hauwezi kukosa cha kumjibu huyo mpenzi wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom