"Una malengo gani na Mimi?"

ukiwa na mtu muite mahali ukiwa serious muulize una mpango gani namimi? Akisita kujibu piga chini, ndo fomula natumia hadi leo
 
Swali zuri sana hili..
 
Ukiulizwa ni bora useme, hata kama unataka kumchezea ukiulizwa sema..

Mi nikimuuliza mwanaume hilo swali akishindwa kujibu basi safari inaishia hapo
Seriously, unamwambia mdada wa watu, "Nataka kukuchezea".
, atakayekubali na aliyekubaliwa wote ni wendawazimu.
 
Ukitumia hizo swaga za u-genuine utachezea vibuti sana mwanamke usipomdanganya kumpata ni ngumu sana, ni wanawake wachache sana utawapata kwa kutumia ukweli
 
Wanaume wengi wasiojitambua hua wanajibu NDOA..

Binafsi ukiniuliza hivo lazima nikufokee seems lyk unataka kunishika sharubu au unanitishia kuachana....
Nahili ndio jibu sahihi, ninani aliekwambia kuwa ukijibiwa kuwa nataka ndoa basi lazima mwisho wa siku lazima itokee ndoa. Au ukiambiwa urafiki basi mwisho wa siku mnaweza msioane, mnakuwa kama mnayaishi maisha ya hadithi za kufikirika kana kwamba matukio ya maisha unayapanga wewe
. Msichana ambaye hajakuwa ndio atauliza hilo swali, laasivyo ambaye yupo desperate na ndoa kana kwamba kaumizwa huko mpaka sasa njia aliyobakiwa nayo kujikinga asiumizwe ni kuuliza hilo swali akidhani ndio hata chezewa.
 
Seriously, unamwambia mdada wa watu, "Nataka kukuchezea".
, atakayekubali na aliyekubaliwa wote ni wendawazimu.
No si lazima useme nataka kukuchezea direct kuna lugha nyingi za kutumika mbona

Kama ambavyo nyie mkiangalia mnasema huyu napiga ila kuoa hapana na sisi kuna watu tunasema i can date him ila kuolewa nae hapana
 
Sasa sisi wengine lugha hizo hatuzijui, ni direct answer bila kupindisha. Kuweka jibu gumu liwela sukari ni kipaji.
 
Hao wadangaji ndo utawambia direct answer na watakua comfortable
 
Sasa sisi wengine lugha hizo hatuzijui, ni direct answer bila kupindisha. Kuweka jibu gumu liwela sukari ni kipaji.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€polee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…