Una malengo gani mwaka huu

Nataka niwe mtaji w kutosha n kupata jiko, nimechoka kulala ngera
 
Kupata jiko mana nimechoka kulala ngera,kiwanja n kubadili gari
 
panga malengo yako ndani ya miezi minne minne utakuwa na mafaniko zaidi kuliko kusubiri mwishoni mwa mwaka.

Iko hivi:

January - April.... (Mfano) Kununua Kiwanja
May - Augost.... (mfano) hujafanya kitu
September - December (mfano)
kujenga msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…