Mambo twin.......unataka tulime lami huku town twin.......kwanza unaendeleaje......?
Umeona bora unikimbie...uniache peke yangu mpenzi, utanifanya nilieeee, nikikumbuka zile raha za .............
Maongezi yenu nilitaka niwaambie, "Get a room" ila nyie ata kichuminy panafaa tu.
Mmenifanya hata nisahau malengo yangu...
I really wish kurudi shule...so much more than kupanda cheo yani! O Lord...
Maongezi yenu nilitaka niwaambie, "Get a room" ila nyie ata kichuminy panafaa tu.
Mmenifanya hata nisahau malengo yangu...
I really wish kurudi shule...so much more than kupanda cheo yani! O Lord...
usijali nakuachia kabinti kanaitwa mango g kako under 20 katakufaa sana
Hata hivyo tulihama........kwani umetuona tena........?
Malengo yako huwezi kuyasahau mkuu mentor....
Hata hivyo elimu haina mwisho, siku hizi kuna evening class meku.
nipate mume nimechoka kulala mwenyewe. Teheeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!
Usinpoteze maboya...me want you! Cc: Nkwela Ntuzu.
Nimewasoma vyema...endeleeni!
Na sasa ninaweza kukujibu ninaendelea vyema wawae...!
Ma inyi ngileicho kuro.......kokoya nyi uro.......leka kiwe kuro.........
Naona wanagonganisha lugha! Nauliza na Mimi niwaite ndugu zangu tugonganishe lugha hapa? Niwaite?
kumbe unaogopa kulala mwenyewe
AHAHAH TUTAWAFUNIKA MBAYA! ila usimwite yule 'beautiful' asije akaniacha aisee...!
Kenjo kunu numa ya numba (pm) ngikuwewerie kindo...
Malengo mengi sana hayo ndugu,msuli wa haja utahitajika.
We mshawa unamwambia azunguke nyuma ya nyumba umwambie nini tena?
Atakupa MBEGE