Una Kitabu Cha Mdunguaji / Mkimbizi? Weka Bei Hapa

Una Kitabu Cha Mdunguaji / Mkimbizi? Weka Bei Hapa

Nenda Scolastika mliman city (jina wamebadili siku hizi kukwepa kodi?) Vipo nilinunua kama miezi sita imeisha
 
Hahahah
We Unalog Off Mara Ngapi Kwan?
Nimeanza Kumlegeza Toka Asubuh
Bado Kakaza tu
achana naye,msikilizie kwanza,si unajua sasa hivi anafunga ila sikukuu ya Idd sema naye tena.
Nalog off
 
Back
Top Bottom