Una kipi tofauti na wengine

Una kipi tofauti na wengine

Mmasi

Senior Member
Joined
Oct 26, 2011
Posts
164
Reaction score
15
Mamb ni vije? Kwenu Jf members eeba! Wakuu mi nimeleta thead hapa jamvini tofauti na wengine mimi ¤napenda sana kuishi vijijini ¤napenda kumtumikia mungu¤sipendi sifa¤napenda kuchati with everybody¤naipenda CCM.Wewe unatofauti gani na wengine?
 
Kila mtu yupo tofauti na mwingine kwa namna moja au nyingine, so it is not a big deal to explain the differences, hata hiyo thread yako ipo mahali tofauti kama wewe mwenyewe ulivyo tofauti.....
 
ulikuwa umelala... mbona unarukia gari bila ya konda.. <angalia aina ya jukwa lililopo ndo utoe maneno..>
 
Back
Top Bottom