Una kaeneo kadogo ghorofa la chumba kimoja hili litakufaa

Una kaeneo kadogo ghorofa la chumba kimoja hili litakufaa

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
4,780
Reaction score
8,155
Kwa wenye ndoto za kumiliki ghorofa na uchumi hauruhusu chukua ramani hii.

Chini chumba kikubwa kina bafu,choo na jiko plus kasebule simple,then juu unakata nusu unaweka zege ndo chumba cha kulala.

Hii ufaa hata ukitaka kujenga air bnb au hata nyumba za kupanga ili kusave eneo itafaa zaidi

Screenshot_20250411_154652.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom